Latest in Tech

KANYE WEST NI 'BABA ANAYEKERA'

Picha iliyomfanya Kim Kardashian kumuita Kanye West ‘Baba anayekera’



Kim K amempe jina jipya rapa Kanye kwenye mitandao ya kijamii baada ya West kuongeza michezo zaidi muda wote na mtoto wake mwenye miaka miwili North West.

Kim kaweka picha inaonyesha “Kanye akimsumbua mtoto wake hata kama hana mood ya kucheza”#AnnoyingDadAlert.”

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes