Latest in Tech

HII NI NDINGA MPYA INAYOFUKUZIWA NA MASTAA


Gari ya Mercedes-Maybach S600 imetajwa kuwa gari mpya ambayo mastaa wengi wataanza kuifukuzia baada ya maboresho tofauti yaliyofanyika.

Mercedes hii ya toleo la Maybach imetengenezwa kuzuia risasi kutoka kwenye bunduki kubwa za size zote na kupewa jina “Guard”, gari hii imetajwa kuwa VR10 level ballistics.

Kama BMW, gari hii iliyotengenezwa Ujerumani inauwezo wa kuzuia risasi zote zitakazo pigwa kwenye kio na eneo lingine la gari hii.



Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes