Latest in Tech

LIL KESH AMKACHA OLOMIDE

Tetesi kutoka Nigeria zinasema msanii Lil Kesh amekataa kuongeza mkataba wake na Olamide na lebel yake ya YBNL.
Mpaka sasa Lil Kesh kuhusu tetesi hizi ila mkataba wake na Olamide uliisha mwanzoni mwa mwezi huu na mpaka sasa hajachukua mkataba mpya.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes