Latest in Tech

DESIGNER MNIGERIA AMDISIGN BEYONCE

amaka osakwe
Mitandao ya habari za burudani Nigeria inasema mbunifu Amaka Osakwe kutoka Nigeria amehusika kwa asilimia kubwa kubuni mavazi ya Beyonce kwenye album ya Lemonade.
Amaka Osakwe ana chapa yake ya nguo Nigeria inayofahamika kama “Maki OH” na ofisi zake ziko Lagos.

Amaka aliandika Instagram “The Queen+beauties, including the gorgeous @amandlastenberg in our teardrop adire dress in the Beyonce film #LEMONADE, Trully honoured to be a part of this!! #Epic,Love this shot of the gorgeous @amandlasenberg in our teardrop adire dress in the Beyonce film #LEMONADE”
                                                                                
Mitandao ya habari za burudani Nigeria inasema mbunifu Amaka Osakwe kutoka Nigeria amehusika kwa asilimia kubwa kubuni mavazi ya Beyonce kwenye album ya Lemonade.

Amaka Osakwe ana chapa yake ya nguo Nigeria inayofahamika kama “Maki OH” na ofisi zake ziko Lagos.

beyonce lemonde
beyonce-lemonade

Share this:

Post a Comment

Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes