Latest in Tech

Rapa Phyno aweka mastaa kwenye album yake mpya.

Rapa kutoka Nigeria Phyno anakuja na muendelezo wa album yake ya kwanza ‘No Guts No Glory’.
Phyno anaelekea kukamilisha album hii mpya akiwa na wasanii kama 2face Idibia aka 2baba, Cynthia Morgan, Timi Dakolo, Olamide.
Phyno ametoa baadhi ya kazi kutoka kwneye album hii kama Nnunu, Ezege na Connec

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes