Latest in Tech

MINAJ AVUTIWA NA WATOTO WALIOCHEZA VIDEO YA EDDY KENZO SITYA LOSS


Nicki Minaj awapenda watoto waliocheza kwenye video ya Eddy Kenzo ‘Sitya Loss’.

Watoto waliocheza kwenye video ya Eddy Kenzo ya Sitya Loss wamekuwa maarufu zaidi baada ya video yao wakicheza Sorry ya Justin Bieber kutazamwa na Nicki Minaj.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes