![]() |
| huyu sio demu ni mwanae |
Mtoto wa kambo wa rapa T.I Zonnique mwenye 20 amepata boy friend ambaye ni maarufu huko nchini Marekani
Mwanaume huyu ni mchezaji wa NFL ‘Damian Swann’ anachezea timu ya New Orleans Saints.
Damian na Zonnique wanafahamia muda mrefu sasa toka wote wamekulia mji mmoja ambao ni Atlanta. Rapa T.I ambaye ni baba wa Zonnique ameonyesha kutokuwa na tatizo kwa vyombo vya habari kumfuatilia mtoto wake na maisha yake ya mapenzi sababu familia ya T.I imekuwa wazi sana kupitia kipindi chao cha Familia Hustle.


Post a Comment