Nigeria itaongeza sarafu ya China ya
yuan katika biashara ya sarafu za kigeni za nchi hiyo kufuatia
maafikiano yaliyoafikiwa kati ya serikali hizo mbili.
Nigeria ambayo ni yenye utajiri mkubwa wa mafuta, ilikuwa ndiyo ya kwanza kutumia sarafu ya yuan barani Afrika kwa mujibu wa wizara ya mashauri ya kigeni nchini China.


Post a Comment