Latest in Tech

Rapa The Game amesema alitakiwa kufanya colabo na Prince kabla ya kifo chake.


Game anasema “Niliongea na Prince na alikuwa tayari kufanya kazi na mimi, niliongea na Doug Morris’ na alikuwa tayari kutukutanisha studio miaka kadha nyuma,walikuwa wameshasikiliza wimbo ”
Palikuwa na tahadhari ya matusi kwenye nyimbo ya The Game sababu Prince aliacha kutumia matusi baada ya mwaka 1992 alivyotoa wimbo wa “Sexy M.F.,” ..
princedeath
The Game aliongelea issue ya matusi na kusema “Nikawaida kwa msanii akikuwa anaacha kutukana, Prince aligeuka shahidi wa Jehovah”.
Prince alifariki nyumbani kwake mjini Minnesota huko Chanhassen alhamisi ya April 21 2016 akiwa na miaka 57.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes