Latest in Tech

Rick Ross Kawapa zawadi watangazaji wa Breakfast club waliomkera Birdman.

Baada ya watangazaji wa kipindi cha Breakfast club kumkera Birdman mpaka kupelekea kutoka kwenye kipindi hicho, hasimu wa Birdman rapa Rick Ross amewatumia watangazaji hao chupa za wine ya kifahari za Luc Belaire Rose.

Watangazaji hao waliandika kwenye video iliyosamba mtandaoni “Bottles from Rozay this mornin’Salute to Ricky Rozay, sent over these six cases of Belaire Rose.” alisema Charlamagne The God.

Birdman aliondoka kwenye show yao ijumaa huku akidai apewe heshima na watangazaji wa kipindi hicho baada ya Charlemagne kumuuliza Birdman kama anaweza kuwaibukia Rick Ross na Trick Daddy.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes