Latest in Tech

VIDEO: TAZAMA RAPER BIRDMAN ALIVYOWABADILIKIA WATANGAZAJI STUDIO KATIKA INTERVIEW

CEO Wa lebel kubwa ya muziki nchini Marekani Birdman ameonyesha ishara ya kutaka HESHIMA yake kwa nguvu baada ya kuwachana watangazaji wa kipindi cha “The Breakfast Club” ila alitoka kwenye interview kabla ya mahojiano.

Alipoingia tu akiwa na wapambe wake, Birdaman alianza kwa kusema “I want to start this shit off by telling all three of y’all stop playing with my name,akiwataja watangazaji Charlamagne Tha God, Angela Yee, na DJ Envy. “Stop playing with my fuckin’ name… When my name come up, respect it,” Ikiwa ni onyo kali kutoka kwa Birdman.

Drama lilianza tena baada ya Charlamagne kumuuliza Birdman kama amewahi kuzungumza wasanii Rick Ross au Trick Daddy—rapa waliowahi kumponda kwenye show hiyo huko nyuma, bosi hiyo wa Cash Money alikasirika zaidi na kusema “Y’all finished or y’all done? I ain’t got no more talkin’.”

Hata hivyo Dj Envy amedai kuwa Birdman ameomba radhi na yupo tayari kurejea tena kwaajili ya mahojiano.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes