Akon amepanga kuachia albamu yake mpya ‘Stadium’ mwaka huu itakayoambatana na tour.
Amesema wiki chache zijazo watataja tarehe rasmi ya kutoka kwa albamu hiyo.
“We will be lining up an official tour for this album. But you will
catch me doing spot dates every once and a while at some place in the
world, that’s what I’ve been doing for forever. I can’t remember
actually doing an official tour. But this time we are going to actually
schedule an actual tour. It will definitely be a worldwide tour because
we do have a lot of territory to cover, but the dates will depend on the
album release date. So once I get that surely after we will have the
tour dates and I will announce it,” amesema Akon.
Mara ya mwisho Akon kufanya tour ilikuwa ni mwaka 2011 ‘OMG Tour’
aliambatana na Usher Raymond lakini mwaka huu amepanga kufanya tena tour
kwa ajili ya albamu yake hiyo mpya.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment