Latest in Tech

Barack Obama Awa The Coolest President Ever kwa kitendo hichi.

Rais wa Marekani Barack Obama amekuwa  The Coolest President Ever mitandaoni baada ya kitendo chake cha kudondosha Mic baad aya kumaliza hutuba yake ya mwisho kwenye ikulu ya Marekani ‘White House’.
Barack Obama amechukua mtindo wa mcheza kikapu Kobe Bryant Lakes ya Los Angeles kwa kuaga na maneno ya “Mamba out” na kuachia Mic idondoke Chini.
Obama alimaliza kwa maneno haya “Obama out” na Mic akaiachia idondoke

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes