Latest in Tech

SHABIKI MMOJA AVAMIA NYUMBA YA CHRISS BROWN KWA MARA YA PILI

Chris Brown anazidi kupambana na mashabiki wenye mizuka na nyumbani kwake, mwanamke aliyefahamika  kama Danielle Patti, aliyewahi kukamatwa akijaribu kuvamia nyumba ya Chris Brown amekamatwa tena akijaribu kufanya tukio hilo.

Chris alikuwepo nyumbani ila hakuna madhara yoyote aliyopata na mtuhumiwa alikamatwa kabla haja mfikia Chris Brown.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes