Baada ya kurekodi wimbo wa ‘Respek’ sasa
bosi wa Cash Money Records, Birdman anarudi nyumbani kwao New Orleans
kufanya video ya wimbo huu.
Mpaka sasa inasemekana kwenye video hii ataonekana rapa Soulja Boy.



Home » burudani » BIRDMAN AANZA KUFANYA VIDEO YA WAIMBO WAKE MPYA 'RESPEK'
Post a Comment