Baada ya ukimwa wa miaka 10 rapa DMX aka Dark Man X anatoa Official Studio Album chini ya Producer Swizz Beatz.
Swizz amesema DMX kwa sasa anamalizi album mpya kwenye studio yake,
amekuwa Sober na yuko tayari kurudi na kuchukua nafasi yake kwenye
Hiphop.
Jipya lingine ni kuwa Kanye West na Dr Dre atakuwepo kwenye album hii
ya DMX ikiwa na mara ya pili wanafanya kazi pamoja baada ya kufanya
kazi mwaka 2003, ambapo Kanye West alitengeneza album ya “Dogs Out”
kwenye album ya DMX ya Grand Champ.
Home » burudani » RAPER DMX ALIEPOTEA KWA MUDA WA MIAKA 10 NCHINI MAREKANI ARUDI UPYA KWENYE GAME KWA COLLABO KALI AKIWASHIRIKISHA KANYE WEST NA DR DRE
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment