Kwa mujibu wa mahojiano na jarida la Rolling Stone ambayo
yalichapishwa hivi karibuni, marehemu Prince alitaka sana kuwa mwalimu
wa kipaji cha Chris Brown.
Mahojiano haya yalifanyika mwaka 2014 Prince alitaka kuwa mwalimu wa
Chris Brown na alishawahi kumkaribisha kwenye jumba lake huko Paisley
Park mjini Minneapolis.
Prince alishangazwa sana na watu kusema hawawezi msamehe Chris Brown kwa kitendo cha kumpiga Rihanna mwaka 2009 .
Baada ya kifo cha Prince, Chris Brown aliandika hivi “I AM THANKFUL
FOR EVERYTHING THIS MAN HAS GIVEN US AND HE WILL LIVE FOREVER IN MY
HEART!”
Prince alifariki April 21 akiwa na miaka 57
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment