Latest in Tech

Chris Brown athibitisha Wizkid kuwepo kwenye tour yake ya ‘One Hell of A Nite Tour’ Ulaya.

Msanii kutoka Nigeria WizKid ameteka tena vichwa vya habari baada ya kutajwa kuwepo kwenye show ya Chris Brown katoka ziara yake huko nchi za Ulaya.
Shavu hili limekuja baada ya WizKid kuwepo kwenye chati za Billboard  kupitia wimbo wa ‘One Dance’ akiwa na Drake. Chris Brown alitangaza uwepo wa WizKid kwenye show yake kupitia instagram kwa kuandika WizKid atakuwepo kwenye “One Hell Of A Nite Tour”
WizKid pia anacolabo na Chris Brown ambayo bado haijatoka.
wizkid-and-chris-brown 2 wizkid-and-chris-brown 3

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes