Latest in Tech

Couple ya Rob Kardashian na Blac Chyna imetajwa kuwa couple inayopendwa na kufwatiliwa zaidi

Couple ya Rob Kardashian na Blac Chyna imetajwa kuwa couple inayopendwa na kufwatiliwa zaidi mbele huku pakiwa na dau kubwa la picha za kwanza za mtoto wao.
Blac Chyna alivalishwa pete kubwa ya Almasi na Rob Kardashian na kuwa wachumba baada ya Blac Chyna kupata ujauzito.
TMZ imeripoti kuwa couple hii inategemea kupewa zaidi ya dola milioni moja ili kuuza picha za mtoto wao za kwanza.
 34BCBF5400000578-3615150-image-a-6_1464534160762 34BCCA1100000578-3615150-image-a-7_1464534238882

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes