Msanii Kutoka Nigeria D’banj ameongelea kwa mara ya mwisho tetesi za
kufunga ndoa mwaka huu baada ya akuulizwa kuhusu kuwa na mipango hio
mwaka huu…
D’Banj alijibu “Harusi yangu itakuwa siri na kimya kimya sana sababu nimechoka kuulizwa swali hili nwaka huu”.
D’banj pia amefunguka kuhusu show atakayokuwa anafanya na kituo cha
MTV ya Lip Sync Battle Africa,na kusema ni show tofauti na show
aliyowahi kufanya Ll Cool J ila kauli hii isichukuliwe kama namponda LL
Cool J.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment