Latest in Tech

Diamond Platnumz alivyozima tetesi za kumsaliti na kuachana na Zari.

Bongo fleva super staa Diamond Platnumz amezima zile stori kuwa ametoka kimapenzi na video model wa wimbo wa Rayvanny ‘Kwetu’.
Kupitia instagram yake Diamond amesema waliotengeneza taarifa hizo wamechelewa sana. Hii ndio post ya maneno na picha aliyotumia. diamondplatnumzRoho ya SIMBA!!!…. wanajaribu ila hawatokaa Waweze… Nakupenda Mpaka Naugua!

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes