![]() |
| Ukame umesababisha ukosefu wa chakula kwenye nchi za kusini mwa Afrika |
Shirika la kimataifa la msalaba
mwekundu na chama cha msalaba mwekund wametoa ombi la dola milioni 110
kusaidia nchini za kusini mwa Afrika zilizoathirika na ukame.
Ombi hilo linatolewa kabla ya kufanyika mkutano mkuu wa umoja waimataifa, unatarajiwa kuangazia hitaji la kuchukua hatua, kulinda jamii kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.


Post a Comment