Latest in Tech

Mariah Carey athibitisha kwenye interview kuwa hamjui kabisa Jennifer Lopez..

Mariah Carey anasema amechoka kulizwa maswali kuhusu pop staa Jennifer Lopez na kwamba anataka dunia ijue kuwa HAMJUI Jennifer Lopez. Nikufahamishe kuwa beef ilianza miaka ya 2000 pale mwandishi wa habari alipouliza kama Mariah anamfahamu msanii Jennifer Lopez na ndio jibu lilishangaza wengi kuwa hamjui msanii huyu.
Jennifer pia aliwahi kuulizwa hivyo na yeye alisema tu kuwa alikutana na Mariah mara moja so hawajuani vizuri.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes