Aliyekuwa mpenzi wa Nicki Minaj ‘Safaree Samuels’
amevumiwa kuwa na mahusiano na mwigizaji wa kipindi cha “Love & Hip
Hop: Hollywood” mwanadada Nikki Mudarris baada ya ukaribu wao
ulionekana mjini Los Angeles.
Samuels na Mudarris wameonekana wakishikana mikono na kuingia kwneye
gari aina ya SUV. Samuels na Minaj waliachana mwaka 2014 na Minaj
amekuwa na Meek Mill toka wakati huo.



Post a Comment