Latest in Tech

FUTURE AKALIWA KOONI NA WANASHERIA WA CIARA


Wanasheria wa Ciara wanategemea kumuweka kiti moto rapa Future kuhusu kesi yake na Ciara. Future amekubali kukalishwa chini huku mahojiano yakirekodiwa na ataulizwa ukweli juu ya kuchafua jina la Ciara na kumtukana mtandaoni. Future amekubali kuapa kusema ukweli na sio chochote bali ukweli kabla ya mahojiano hayo.

Future alimtukana Ciara kwa kumuita “bitch with control problems.”

Ciara kwa sasa ni mchumba wa mchezaji wa Seattle Seahawks  Russell Wilson, na hivi karibuni alitaka dola milioni $15 kutoka kwa Future kwa kosa la kumchafulia jina.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes