Latest in Tech

Hivi ndivyo Jaji kaamua kuhusu Kesi ya Ciara na Future kuhusu mtoto.

Drama kati ya rnb staa Ciara na Future zinaendelea na wiki hii kesi yao kuhusu mzazi yupi ana haki ya kuwa na muda zaidi wa  malezi ya mtoto wao ‘Future’ imechukua hatua nyingine.

Jumatatu hii jaji mjini Los Angeles ameruhusu Future awe na haki sawa za kuwa na mtoto wao Future na kwamba Ciara atagawanya muda wake na mtoto wao pamoja na Future.

CiCi alifungua kesi hio akidai baba wa mtoto wake sio mtu mzuri kabisa, Ciara kwa sasa ni mwanamitindo wa kampuni ya IMG Models na atasherehesha tuzo za Billboard Music Awards pamoja na rapa Ludacris.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes