Kanye West na mke wake Kim K wameshinda tuzo za 20 za Webby
zilizofanyika mjini New York City jumatatu hii. Kanye na mke wake Kim
Kardashian.
Kanye ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka huku akitoa Speech fupi
zaidi kwenye maisha yake ya maneno matano tu “I can’t stand short
speeches,” .
Kim Kardashian ameshinda tuzo ya Break the Internet Award amabayo
ilitengeenzwa kwa watu kama yeye wanaofanya vitu kama kuweka picha za
utupu kwenye mitandao na kuongelewa zaidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment