Latest in Tech

Kanye West na Kim Kardashian wakila bata nchini Cuba

Kanye West ameendelea kula bata na familia yake na sasa ni zamu ya Cuba.
33C8B4E000000578-3570857-image-a-86_1462273945345
Baada ya nchi za Marekani na Cuba kukubaliana kidplomasia kufungua mipaka ya nchi zao iliyofungwa kwa miaka mingi kutokana na vita baridi, Kanye West ameonekana kwenye mitaa mbalimbali ya Harvana, Cuba akiwa na mke wake Kim Kardasian pamoja na mtoto wao, North West mwenye miaka 2.
Wakiwa nchini Cuba siku ya Alhamisi Kim alihudhuria kwenye fashion show ya Chanel Cruise collection.
Tazama picha zaidi:
1401x788-spl1245675_003_
33C8B1BB00000578-3570857-image-a-81_1462273691951
Kanye
Kanye 2

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes