Utani wa 50 Cent kwenye video aliyoipost kwenye Instagram akimdhihaki
mlemavu wa akili umezidi kumtafuna rapper huyo. Mtandao wa
AllHipHop.com umedai kuwa EFFEN Vodka, brand ambayo 50 ameipigia promo
ya nguvu miezi ya hivi karibuni, imechukizwa na mambo ya kipuuzi ya
rapper huyo.
“EFFEN is a brand that considers social responsibility the highest of
priorities, and 50 Cent’s recent actions are in no way representative
of EFFEN® Vodka or our brand values. We are taking this situation
extremely seriously and have communicated our provound disappointment to
50 Cent directly,” wamesema.
50 Cent ameomba radhi kwa kupost video hiyo.
“While the incident at the airport resulted from an unfortunate
misunderstanding, I am truly sorry for offending the young man,” alisema
50 Cent kwenye maelezo yake. “It was certainly not my intent to insult
him or the disability community, which is a source of great strength in
America. I have apologized personally to him and his family,” aliongeza.
Familia ya kijana huyo imekubali kumsamehe 50 na imeahirisha kumpeleka mahakamani.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment