Baada ya mahusiano ya Shilole na Nuh Mziwanda kuvunjika, sasa kila mtu anamuona wenzake ni adui.
Akiongea kwenye kipindi cha 5 Select cha EATV, Nuh alisema, “Nimefunga ukurasa wa mapenzi na Shilole.”
“Hata ikitokea akataka turudiane sitakubali kwani nimeshaanza
mahusiano mapya na nina furaha zaidi. Kwa sasa sitaki tena maisha ya
skendo na kiki ndiyo maana hata kwenye page yangu mpya huoni watu
wakimtukana Nuh tofauti na ilivyokuwa zamani,” aliongeza.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment