Boss wa Cash Money Birdman amefunguka kuhusu kumbani Lil Wayne kutoa
album yake mpya ya Carter V. Birdman amehojiwa nyumbani kwake na kusema “Lil
Wayne ni boss wa kazi zake mwenyewe, sijawahi kuingilia mambo yake,
kwanini nisitoa album ya Tha Carter V, nina pesa nyingi sana nimewekeza
kwenye lebel ya Young Money na Lil Wayne,dunia inastahili kuipata Carter
V, atakapo taka kuitoa mimi niko sawa tu ”
Ni mwaka na miezi kadha sasa toka Lil Wayne aseme kuwa Birdman
anamshikilia kwenye mkataba wa Cash Money huku akizuia album yake
kutoka.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment