Latest in Tech

HII NDO LIST YA WANAMUZIKI WANAOMILIKI MKWANJA MREFU ZAIDI MAREKANI

  1. Sean “Diddy” Combs bado anashikilia namba moja akiwa na utajiri wa dola milioni $750.
Puff Daddy
2.Andre “Dr. Dre” Young anashikilia namba mbili kama mwaka jana akimiliki dola milioni $710 kutoka kwenye faida za biashara zake kama Beats By Dr. Dre.
Dr Dre
3. Shawn “Jay Z” Carter anamiliki dola milioni $610 kutokana na faida ya kampuni yake ya kusikiliza muziki na kutazama kazi za wasanii ka kulipia ya TIDAL Na mikataba na wasanii wengine kupitia Roc Nation.
Jay Z
4. Bryan “Birdman” Williams anashika namba yake ile ya nne akiwa na mkwanja dola milioni $110 million kutokana na lebel yake ya Cash Money.
Birdman
 5. Aubrey Drake Graham, Drake ameingia kwenye orodha hii akiwa namba 5 akimiliki dola milioni $60
  Drake

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes