Latest in Tech

Lil Kim kataja nyimbo 5 alizopenda zaidi Notorious B.I.G.

Rapa Lil Kim wa lebel ya Diddy ya Bad Boy ametaja ngoma kali tano alizowahikuzipenda zaidi marehemu Notorious B.I.G.
Lil Kim anasema nyimbo hizo ni Warning, ‘Dead Wrong, Who Shot Ya, Hypnotize, Kick in the Door, na Somebody’s Gotta Die.
Nyimbo zote hizi zipo kwenye album mbili za BIG ambazo ni  Life After Death, na moja akutoka Ready to Die, na moja kutoka kwenye ile album ya Born Again.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes