Staa wa tv Kylie Jenner amekanusha kuwahi kumkopa Ex wake Tyga dola
milioni $2 na kwamba kwa sasa hana pesa ndio maana anamdai rapa huyu.
Kupitia twitter Kylie amesema stori hizi ni za uongo na kwamba
hajawahi kumpa dola milioni mbili Tyga,Tyga amekuwa miongoni mwa rapa
waliotajwa kutokuwa na pesa nyingi hata kama anaishi maisha ya kistaa.
Hivi karibuni baada ya kuachana na Kylie, Tyga ametajwa kuanzisha mahusiano na mwanamitindo kutoka Uingereza Demi Rose.
Tyga kwa sasa ana record mpya kwenye radio inaitwa “Cash Money”.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment