By
Unknown
•
03:08:00
•
burudani
•
Baada ya tetesi za usaliti kuongelewa kwenye album mpya ya Beyonce
‘Lemonade’ Jay Z amekuwa akiandamwa na maneno ya watu kuhusu usaliti
wake na mwanamke anaye fahamika tu kama BECKY with the good hair kama
alivyotajwa kwenye wimbo wa Beyonce.
Hawa ni mashabiki wa Jay Z wanaokwenda kwenye kila show ya Beyonce na mabango haya.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment