Latest in Tech

DIAMOND AFUNGUA UKURASA WA COLLABOS NA MASTAA KUTOKA MAREKANI

Ukiacha collabo ya Diamond Platnumz na Chris Brown iliyothibitishwa na MTV Base Africa, Inasemekana lebel kubwa nchini Marekani ya RCA imefanikisha colabo zingine mbili za Diamond na wasanii wengine nchini Marekani. 
RCA ni ‘Radio Corporation of America‘ inayofanya kazi na lebel zingine kubwa kamaColumbia Records,Epic Records na Sony Music Entertainment.
Ukiacha Chris Brown, Diamond Platnumz ameunganishwa na wasanii wengine kamaShakira na Miley Cyrus na atafanya nao kazi.
shakira3
Bado hatujathibitisha Taarifa hizi.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes