Latest in Tech

RONALDO AKOSA UBINGWA NA UFUNGAJI BORA LALIGA

 Cristian Ronaldo ameingoza vema timu yake ya Real Madrid katika ushindi wa 2-0 dhidi Lepotivo Lakurunya huku akifunga mabao yote lakini akishindwa kuifikia idadi ya magoli ya Luis Suarez wa Barcelona ambao wamechukua ubingwa wa Laliga.

Luis Suarez ana magoli 30 huku Ronaldo akiwa na magoli 25 tofauti ya magoli 5.


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes