Mpiga
 picha wa kampuni ya Jay Z ya Roc Nation amefunguka kuhusu picha 
inayomuonyesha Jay Z akiwa SERIOUS kinoma na Dj Khaled huku wengi 
wakidhani alikuwa anamfokea Khaled ambaye kwa sasa ni msanii wake. 
Lenny S anasema “Maongezi haya yanaitwa Pre Show Pep Talk” ni issue ambazo Jay Z anaongea na watu wote wanaohusika kwenye show ya Beyonce”
 Sababu huwezi fanya show kali kama ya Beyonce, Lenny anasema Dj Khaled 
alitumia mbinu ya kuweka wasanii wote anaowamudu kwenye show yake na 
ndipo alipowapandisha Rick Ross, YO Gotti, 2 Chainz, Kent Jones, Trick Daddy, Weezy na Future .



Post a Comment