Latest in Tech

UVUMI WA USALITI WA JAY Z WAITAJIRISHA FAMILIA YAKE

Beyonce na Jay Z wameripotiwa kutengeneza zaidi ya Pound za Uingereza milioni 150 kupitia uvumi wa usaliti wa Jay Z.
Ripoti inasema Jay Z na Beyonce walipanga na kukubaliana kukikisha mauzo ya album ya Beyonce ‘Lemonade’ kwa kutumia uvumi wa JayZ kumsaliti mke wake na mwanamke aliyepewa husika wa Becky kwenye wimbo wa ‘Sorry’.
Jay Z anapitia na kuhakikisha kila wimbo wa Beyonce kabla haujatoka, yeye ndio anamamlaka ya kuruhusu wimbo utoke ndio maana inaaminika lilikuwa wazo lake kwa Beyonce kuweka mashairi haya.
Thamani ya Jay Z na Beyonce ni zaidi ya dola milioni £700.
Beyonce anadili na kinywaji cha Pepsi lenye thamani ya pound milioni £30million, pia anafanya kazi na kampuni kubwa kama Ivy Park fitness range, Tommy Hilfiger ,Nintendo, American Express, L’Oreal na Tidal.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes