Latest in Tech

Picha iliyompa tuzo ya “Break the Internet” staa Kim Kardashian.

Kim Kardashian amekuwa miongoni mwa watu maarufu kwa kuvunja stori kubwa mitandaoni kwa picha na matukio yake tofauti.
Kim K alishindwa tuzo ya “Break the Internet” kwenye tuzo za Webby zilizofanyika mjini New York, Hii ndio picha aliyowaka mtandaoni mwezi wa tatu na ndio iliyoongelewa zaidi mwaka huu.
0517-kim-kardashian-naked-selfie-march-instagram-4

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes