Latest in Tech

PICHA:Jay Z na Beyonce walikosa jumba la kifahari kwa dau kubwa la huyu staa.

Jumba kali la kifahari lililoangaliwa kwa ukaribu na familia ya The Carter ‘Jay Z na Beyonce’ lililopo mjini LA limenunuliwa na mbunifu wa mavazi na director Tom Ford.
Tom Ford ametoa dola milioni $50 na kununua jumba hilo lililopo huko mitaa ya kistaa ya Beverly Hills. Jay Z na Beyonce walitaka kulipia dola milioni $49 tu.
Tom-Ford-01
Jumba liko kwenye Ekaru 3.2, lina vyumba tisa vya kulala ,10 bathrooms. Lilijengwa mwaka 1934 , waliowahi kuishi humo ni pamoja na mastaa wakubwa kama William Powell na mtayarishaji wa filamu za ‘James Bond’ producer Albert Broccoli.
1 2 3 4 6 8 9 10 11 12 0517-minecraft-creator-house-footer-3 0517-tom-ford-beyonce-jay-z-house-mls-4

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes