Latest in Tech

PICHA:Jack Wilshere amvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Andriani Michael.

Mshambuliaji wa Uingereza na Arsenal star Jack Wilshere amethibitisha kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu Andriani Michael baada ya kumuomba awe mke wake kwenye siku yake ya kuzaliwa.
Andriani amefikisha miaka 25 na walianza kuwa na Wilshere, 24, miaka kadha iliyopita. Andriani ni mtoto wa kinyozi wa Jack Wilshere.
Jack_Wilshere 2 Jack_Wilshere 3 Jack_Wilshere

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes