Blac Chyna ameonyesha tumbo lake kwa watu kwa mara ya kwanza huku
akijitamba kwamba amepata ujauzito na kwamba ataza ata watu wakiponda
kuwa amefanya hivyo sababu ya utajiri wa boy friend wake Rob Kardashian.
Blac Chyna, 28, na mchumba wake Rob Kardashian, 29, wanategemea mtoto wao wa kwanza ila Blac Chyna ana mtoto na rapa Tyga.
Post a Comment