Latest in Tech

The Game katumia milioni 150 kuchorwa picha ya huyu msanii anayemkubali zaidi.

Rapa The Game amemlipa mchoraji maarufu Madsteez kuchora picha ya marehemu staa wa Pop Prince. Picha hii imechukua saa 100 kuchorwa na mchoraji Madsteez.
The Game aliwahi kusema baada tu ya kifo cha Prince kuwa walikuwa wanafanya collabo.
the game na prince 2 the game na prince

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes