Latest in Tech

Rapa awachana followers wake baada ya single yake kununuliwa na watu 26000 tu.

CEO Wa kundi la wasanii wa rapa wakali kwa sasa duniani la TDE Anthony “Top Dawg” Tiffith amewaponda mashabiki wa kundi hilo kwa kutonunua wimbo mpya wa ScHoolboy Q Ft Kanye West ‘That Part’.
Bosi huyu ansema hii single mliitaka wenyewe sasa mbona watu 26000 tu ndio wamenunua wimbo huu. “who bought Q single?” he asked. “we have over 11m followers and his single sold 26k the 1st week. y’all beg 4 it..explain that support 2 me…lmao.”
TDE ambayo pia yupo Kendrick Lamar ni miongoni mwa makundi makali ya rap nchini Marekani.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes