Imethibitishwa kuwa The Rock
anarudi kwenye filamu ya ‘FAST & FURIOUS 8’ na kuendelea na husika
yake kama Hobbs ila mpaka sasa haijafahamika atafanya kitu gani kwenye
filamu hii mpya.
Johnson aka The Rock , 44,
alionekana mara ya kwanza kwenye “The Fast and the Furious” mwaka 2011
kwenye “Fast Five” na “Fast & Furious 6″na tena “Furious 7.”


Post a Comment