DJ Khaled ametumia usajili wake kwenye show za Beyonce vizuri sana
baada ya kuleta wasanii wote wakali karibu na Beyonce na kukutana na Jay
Z ambapo wengi wao wamepiga picha kwa mara ya kwanza na staa huyu huku
wengine wakiomba collabo na kufanikiwa.
Rapa Future mefanikiwa kupata collabo na Jay Z na inasemekana amesharekodi wimbo huo na sauti ya Jay Z kaipata pia.
Amejitamba hivi twitter
Post a Comment