Latest in Tech

Baada ya kumbwaga Tyga,Kylie Jenner apata MPENZI MPYA huyu wanamuita macho ya paka.

New Couple Alert kutoka mbele inamuhusu Ex wa Rapa Tyga Kylie Jenner ikiwa ni siku chache tu baada ya kutengana kwa wapenzi hawa, tayari kuna uvumi kuwa Kylie anampenzi mpya.
Mwandishi wa gazeti la Nylon Magazine, anasema Kylie Jenner na Ty Dolla $ign walikuwa wanapeana mabusu kwenye pati ya BCBGeneration Annual Young Hollywood party na kwamba huu sio uvumi tena.
Je Ty Dolla $ign ni bora kuliko Tyga ?
kylie-jenner-tyga-ty-dolla-sign

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes