Latest in Tech

Wachezaji wakirudishwa nyumbani na Kikosi cha uteguaji mabomu kikifanya kazi yake uwanjani Old Trafford.


Mchezo kati ya klabu ya Man United dhidi ya AFC Bournemouth uliyokuwa uchezwe katika uwanja wa nyumbani wa Man United wa Old Trafford uliahirishwa kutokana na uwanja huo kuhofiwa kutokuwa na hali ya usalama.
Mchezo huo umehairishwa dakika chache kabla haujaanza huku wachezaji wakiwa wanafika uwanjani nakurudishwa majumbani, Uwanja huo ulihusishwana kuwepo kwa bomu ambalo lingethuru asilimia kuwa ya watu zaidi ya 75000 wanaoweza kujaza uwanja huu.
Mbwa wa kikosi cha kutegua mabumo na askari wa kikosi hicho walishughulikia tatizo hili na kugundua kuwa KIFA KILICHOTAJWA KUWA NO BOMU KILIKUWA KIFAA CHA MAZOEZI.
_89700855_dog_epa
3432E53800000578-3591435-Police_and_sniffer_dogs_were_in_the_ground_after_they_were_told_-a-48_1463323680639 3432FB7000000578-3591435-At_around_3_20pm_the_remaining_fans_from_all_the_stands_began_to-a-57_1463323680860 3432FCE000000578-3591435-A_bag_is_searched_in_the_stands_prior_to_the_match_being_abandon-a-59_1463323680912 34334A6400000578-3591435-image-m-71_1463324604024
bomb1-mrdanielparker.png man-utd

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes