Mwimbaji kutoka Nigeria WizKid anatarajia kufanya show kubwa maka huu
huko London ambapo atakuwa kwenye jukwa moja na wasanii kama Big Sean
na Future.
Wasanii wengine ni pamoja na DJ Calvin Harris, Future, Fergie, Big Sean na Miguel, show inafanyika July 8 mpaka July 10, 2016.
Hivi karibuni WizKid amekuwa juu kimuziki baada ya collabo yake na
Drake, One Dance, kushika namba moja kwenye chati za Billboard 100.
Home » burudani » WizKid kufanya show kubwa ya London 2016 Wireless Festival akiwa na Big Sean na Future.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment